Love is life

 Intro
This goes out to ma’ girl
who puts smile on ma’ face
every time I think about her

I thank God to give me love
to love and to be loved
not just love, but special love
from fine dark skin girl
I love you Gloria, I told you we gonna make

If you ask me why I love this Tanzania girl
I ask you how many languages you speak well
how much time you got
I can use all time in the world
I can use all languages in the world
won’t make any sense or ring a bell
Let me try in Swahili
Nakupenda
Nakutaka
Nimedata
Namwaza
Aah, forget about it,
All I wanna say is 

 Nakupenda, kupenda
Teamo teamo
I love I love
Who said an Angle must have wings
Who said Angles must wear white dress and not in jeans
You are my personal charming Angle
When I ask God to light my life candle
God gave me better he send me an Angle
Oooh, I love you ooh,
I love you ooh, Nakupenda

You are ma thugin’ Angle
You won ma’ mind ma’ heart and ma’ soul
I love everything you do, smile talk, walk, just like for show you are natural born beauty
no make-up spending in the mall
U look fly in everything you wear ask ‘em all
You are ma’ real life partner,
U know like SWAT team “cover me I’m ready to go
U got ma’ back I got ya’ back,
U ma’ true soja, always ready to go
After ma’ mama death, ma love light turned low
You came along to still up ma’ life and ma soul
You showed me love is life and life is love
And without the love, life is just one big show
I know life can be crazy challenging to meet our goals
With u is paradise, winter, spring, summer, even fall
Two of us we tell jocks till we crack our jaws
Friends enjoys your company das’ y they give you a call
Friends form Dar es salaam, Dodoma, Des monies Huston, to Cedar falls
Iringa, Nairobi, Kampala, Liverpool to St. Paul
For real, holla and ask em’ all
They gonna holla back and give ma love for you


Kupenda kupenda
Kupenda kupenda
Teamo teamo

Outro
Baby this is between me and you,
I promise to be your best friend
Good lover, wonderful Dad, I can be a very good parent…
For real ask kids from my neighborhood,
they call me Uncle Suby
and I’m out.

See the video


BARUA PEPE
(TELEGRAM REMIX)

Kaka naijibu barua pepe
Niliyoipata toka kwa mkeo
Anaomba ushauri wangu
Kwa kuwa maelewano yenu ndani ya nyumba
Yamekuwa madongo

Kaka naijibu telegram
Niliyoipata toka kwa mkeo
Anaomba ushari wangu
Kwa kuwa maelewano yenu ndani ya nyumba
Yamekuwa madogo

Katika majiby niliyotuma
Nimemuhusia mkeo
Kama ameadhimia kutorudi nyuma kimapenzi, avumilie
Na kuomba kheri itawale shari
Mkumbushane hisani msameehane x2
Kama wazazi

Katika majibu niliyotuma Nimemuhusia mkeo
Kama ameadhimia kutorudi nyuma kimapenzi, avumilie
Na kuomba kheri itawale shari
Mkumbushane hisani msameehane x2
Kama wazazi

Katika majibu niliyotuma
Nimemuhusia mkeo
Kama ameadhimia kutorudi nyuma kimapenzi, avumilie

Amini usiamini
Mkeo ndani ya nyumba
Hapigwi kwa fimbo au makofi
Hupigwa kwa upande wa khanga
Kwani mkeo ni pambo la nyumbani

Katika majibu niliyotuma
Nimemuhusia mkeo
Kama ameadhimia kutorudi nyuma kimapenzi, avumilie

Hasa ewe kaka yangu sisemi mengi mie
Ila nakukumbusha uanadamu dhahabu
Na starehe ni pambo la wakati

RAP
Kaka eeh
Mambo ni vipi brother kaka
Mkeo asema umemsusa, umemtupa
Auliza penzi lake umelichoka?
Asononeka warudi kazini umechooka
Hata khabari hutaki kumjulia
Na humnunulii maua humtoi viwanja
Aah mambo gani haya sasa kaka?
Mtoe viwanja mkeo kuburudika
Ni nini thamani ya almasi kama watu hawataiona
Ni nini chakusumbua bother kaka
Nijulishe hata kwa barua pepe
suby@subyproduction.com

NYERERE

Chorus
Tumejaliwa sana sisi Tanzania
Ngao yetu umoja tumeshikilia
Hebu na ujiulize bila kutania
Mambo gani muhimu unazingatia
Kudumisha umoja ilikuwa yake nia
Si aibu kumshukuru baba Nyerere
Kumsifu kwa furaha vigeregere
Mwalimu baba yetu hatuto msahau
Mwalimu baba yetu tunamfahamu
Ni yeye aliyejenaga umoja wa taifa
Ni yeye aliongoza taifa letu changa ..Nyerere

Aaah Tanzania wee sio siri, naipenda Tanzania
Si sababu nimezaliwa na kukulia Tanzania
Pia nimevuka mipaka sijaona kama Tanzania
Ingawa kuna dhiki na kulala hoi Tanzanina
Sijaona binadamu wenye furaha kama Watazania
Uhuru, Umoja, Upendo, na Furaha
Ndio nguzo za Watanzania
Nguzo zilizojengwa na Wazanzibari na Watanganyika
Chini ya uongozi wa Nyerere, Karume na wengine waliokunywa..
maji ya bendera ya Tanzania
Haki ya nani vile, naahidi daima nitakuenzi Tanzania
Nazidi kumsihi Mola kwa tungo, tenzi, na mapambio nikiimba..
MUNGU ibariki Tanzania

Kulaleki spendi siasa ya uongo
Na sihusudishi politics hasa za Bongo
Lakini kwa Nyerere nilimvulia kapero na kutindikiwa na ubongo
Hutaki?! Nyerere mwisho wa mbombo
waulize wote toka Dabaga kijijini mpaka down town mtaa wa Congo
Alifanya mengi mambo
Ambayo babu yako na babu yangu yaliwachanganya ubongo
Kama mazingaombo vile, bara bim bara bum
Aliunganisha bara na visiwani kwa kuchanganya udongo
Simfagilii wala sishiki bango
Wala sisemi Nyerere alikuwa hana kasoro hata dogo
Kwani hakuna binadamu asiye na kasoro
Au niseme nobody is perfect kwa kimombo
Alhamudulurilahi hatukumpata raisi mpenda anasa na fedha au mbongo
Kama Mubutu Seseseko wa Kongo
Au mroho wa madaraka kama Idi Amini asiye na mpango
Aliye wapeleka wapinzani wake futi sita kwa udongo
Aah nimekumbuka simsahau Adolf Hitler wa Ujerumani kule ng’ambo
Aliyeuwa milioni sita kwa usongo
Pengine alikuwa na pepo
Labda mtindio wa ubongo
Zidumu fikra sahihi za Mwalimu, Julius, Kambarage, Nyerere, Mchonga, 
  Kifimbo,Mwenyekiti, na baba wa taifa hili la Bongo
Mola wajaalie viongozi wananchi, na wale wote wapendao maendeleo ya bongo


C/O
Sangalawe nalia kiugeugeu nasema X2
Tanzania ninavyokupenda nitakula sumu juu yako } X2
Aye aye mama si utani mazoea
Sili sinywi naumia mamaa X8


KIFUNGIO
Mbali na kusifia mengi mazuri ya Watanzania napenda kuwakumbushia Wabongo
Tuache uongo uvivu na matanuzi yasioyo no mpango
Usingizi kidogo wa ziada kukunja mikono
Na kuweka miguu juu kwa kubembea au matanuzi
Umasikini utakukabili kama mwizi
Na uhaba wa matanuzi utakuvamia kama mnyang’anyi
Tujitume kwa bidii juhudi na maarifa na Mungu si suby tutafika tu.

See the video

             

SWAHILI HOMIES

Intro 
Homie call me
Homie call me

Allow me to salute
Ma' old homies,
Ma' long time homies
Ma' swahili homies
What's up homies
How you doin'?!
Bee long time since
Is not like I dis
Is just this cryz life I face
Between two jobs & two kids
I got two hobbies,
Music and electronics
But I want you to know this
It is you that I miss
And you alwayz be ma' homies

Homies I'm thinking about you
Don't worry, I'm good,
Life over here, is good
could been better,
I'm working to make better
Some time soon we gonna have reunion
could been better,
I'm working to make better
Some time soon we gonna have reunion
Some day, we gonna have party
We gonna sing, and dance till monie
Siku moja, we gonna have pati
we gonna sing and dance till monie.

I got new home
Home of the brave sweet home
Home of ma' kids and new homies
I got white, and black homies
Asian and Latino homies
All together in harmony
I'm from Mid- west
Iowa is my address
Land of sweet corn, yes sir
Hard working people, no doubt
Above all, in GOD we trust.

Angel (Spanish verse)


Homies I'm thinking about you
Don't worry, I'm good,
Life over here, is good
could been better,
I'm working to make better
Some time soon we gonna have reunion
could been better,
I'm working to make better
Some time soon we gonna have reunion
Some day, we gonna have party
We gonna sing, and dance till monie
Siku moja, we gonna have pati
we gonna sing and dance till monie.

Hi Mama
Mama if you can hear me up there
Ain't run away from mother land
Without you there is wonder land
Give hi 2pac
Tell him is time for change
Black president in the land
Martin Luther dream came true and
Is like a new promise land
Ma homies in the Bongo land
I know life is tough and hard
I wish I can give you a hand
You got to keep up ya' head
and then you got take the charge
It is our time for change!!

Homies I'm thinking about you
Don't worry, I'm good,
Life over here, is good
could been better,
I'm working to make better
Some times soon we gonna have reunion
could been better,
I'm working to make better
Some time soon we gonna have reunion
Some day, we gonna have party
We gonna sing, and dance till monie
Siku moja, we gonna have pati
we gonna sing and dance till monie.

Outro (Frech)
Attends, il faut que je change la musique

 

                                      

Home